Ile fainali iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wote ni itafanyika leo jumamosi, Fainali hii kwa mara ya kwanza inazikutanisha timu za Degree mwaka wa pili pamoja Diploma mwaka wa kwanza, Fainali inategemewa kuanza majira ya saa 10:00 kamili jioni
Upande wa Diploma I
Upande wa Degree II
No comments:
Post a Comment