Amini usiamini bwana huyu amekuwa hana raha katika maisha yake yote tangu anazaliwa kwani amejikuta katika mikasa mingi ya ajabu ikiwemo kukataliwa na wanawake ambao alikuwa anawapenda kwa DHATI.
Katika mahojianoo mafupi na vyombo vya habari husika bwana huyo alibainisha kuwa hali hiyo ni ya kuzaliwa nayo na imekuwa ikimsumbua kwa muda mrefu....
Tatizo kubwa linalomuumiza kichwa ni kuwa mpaka sasa hajui ni ipi kati ya hizo nne ambayo haswa inahusika na tendo la ndoa kwa UFANISI.
Chanzo: Gumzo la jiji
lule huyo mtu anatakiwa kufanya uamuzi sahihi ili ajue ipi atumie the ...sipati picha itakuwaje akimaliza la kutumia moja halafu nyingine bado zina dai,,....duh..God help us...
ReplyDelete