MARA
kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama
barabarani hasa Jijini Dar es Salaam
Trafiki wa Moshi huenda
wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi
wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama
barabarani mjini Moshi ambao majina yao hayakufahamika walimpiga askari
wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) katika kituo kikuu cha mabasi
mjini hapa hivi karibuni,baada ya kutokea kutoelewana....
mwanajeshi huyo
alikuwa akimtetea dereva wa Hiace aliyeshikwa na trafiki hao./
No comments:
Post a Comment