STAA
wa filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameiambia
Mpekuzi kuwa anaogopa kumtambulisha kwa mashosti zake bwana’ke
aliyenaye kwa sasa akihofia kuporwa.
Shilole anayedaiwa kunasa kwenye penzi la mtangazaji, alisema kuwa anaogopa kumweka hadharani kwani kuna baadhi ya wasichana wa mjini wakishamjua mwanaume wa mtu, huwa wanamnyemelea na kumnasa kirahisi, jambo ambalo hataki limtokee.
No comments:
Post a Comment