Mdau wa filamu Jumanne Athuman, mkazi wa Magomeni jijini Dar es
Salaam, alisema amekerwa sana na kitendo cha Shilole kukaa hovyo
jukwaani kwani anajidhalilisha mbele ya jamii ambayo itajitizama kupitia
kwake.
“Huyu Shilole hana heshima kabisa, juzi tu nilisoma katika mitandao akiwakashfu Wema na Aunt eti ndiyo tatizo Bongo Movies, mbona naye huwa anajiachia hovyo?
“Kwa
nini hawa wasanii hawajiheshimu? Inaniuma sana, nahisi kama ndiyo
kawaida yao. Ni sikio la kufa...hawasikii dawa. Wamezidi sana,
wanajichafulia heshima zao kwenye jamii,” alisema Jumanne.
“Huyu Shilole hana heshima kabisa, juzi tu nilisoma katika mitandao akiwakashfu Wema na Aunt eti ndiyo tatizo Bongo Movies, mbona naye huwa anajiachia hovyo?
No comments:
Post a Comment