H-Baba akimvisha pete ya uchumba, Flora Mvungi.Tukio hilo lililokuwa na mvuto wa aina yake lilichukua nafasi juzi
Jumamosi, katika Ukumbi wa The Atriums Hotel, Sinza – Afrika Sana, Dar
na kuhudhuriwa na ndugu wa pande zote mbili.
Kinyume na ilivyozoeleka, zoezi la kutoa mahari kufanyika nyumbani, kwa wawili hawa ilikuwa tofauti kwani kila kitu
Kinyume na ilivyozoeleka, zoezi la kutoa mahari kufanyika nyumbani, kwa wawili hawa ilikuwa tofauti kwani kila kitu
H-Baba akiwasalimiana ndugu na jamaa.
Ndugu na jamaa waliohudhuria tukio hilo.
Flora Mvungi kabla ya kuvishwa pete ya uchumba.
“Namshukuru sana Mungu kwa kuniwezesha kufanikisha tukio hili, japokuwa gharama ilikuwa kubwa lakini niliweza kujitutumua mwenyewe bila kuomba mchango kwa mtu yoyote.....Alisema H baba na kuongeza:
“Jambo kubwa ninalotamani litokee na ninaamini litafanikiwa ni kufunga ndoa na Flora wangu. Ninampenda sana na nina uhakika na uchaguzi wangu.”H-BABA
Baadhi ya mastaa waliohudhuria ni pamoja na Baby Madaha, Kulwa Kikumba ‘Dude’, Hisani Muya ‘Tino’, Jacqueline Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Husna Idi ‘Sajenti’ na Wilson Makubi aliye Katibu wa Shirikisho la Filamu Tanzania
No comments:
Post a Comment