Wednesday, February 6, 2013
EXCLUSIVE: MATOKEO ETU KUBANDIKWA TAREHE 8 FEB. 2013
Naomba kutoa Taarifa kutoka Eckernforde Tanga University kuhusu swala zima la matokeo pamoja na mitihani kwa wale wanaorudia kozi (sap)ambapo kwa taarifa ambazo nimezipata mpaka sasa ni kwamba matokeo yanaweza yakatoka kuanzia trehe 8 February 2013 baada ya meeting of seneter ambayo itafanyika Tarehe hiyo 8 siku ya ijumaa.Kuhusu taarifa za chuo kufunguliwa itakuwa tarehe 11 February 2013 kutokana na prospector inavyooeleza
Kwa wale ambao watatakiwa kufanya mitihani ya sup watafanya at the begining of second semister baada ya watu kufungua chuo.
Tahadhari: Taarifa zinaweza kubadilika kutokana na vyanzo vya habari kueleza hivyo na pia kutokuwepo kwa taarifa yeyote kwenye website ya etu mpaka sasa nalo pia ni tatizo.....nashukuru kwa usikivu wenu
Blog Master: Yusuph Lule
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment