Hapa ni maeneo ya garden kuelekea bombo area
Maeneo ya forodhani garden
Jengo la Posta Jijini Tanga lipo mkabala na club la cassachika
Jengo la hospitali la wafanyakazi wa bandari
Jengo la bandari Tanga.
Maeneo ya mkwakwani kuelekea bombo hospital
Zifuatazo ni picha za bombo area
Mkonge HOTEL
Zifuatazo ni picha za Raskazone ambapo wanakaa vigogo
Hiki kivuko kilikua kinatumika zamani wakati kiwanda cha mbolea
kinafanya kazi, picha zote zilizobaki hapo chini ni za Raskazone.
Raskazone beach.
Picha zote hizi ni mitaa ya raskazone.
Picha zote hizi ni kwa ajili yako najua bado mnalimis jiji lenu,sitochoka we are together lov u all(ETU students)
No comments:
Post a Comment