Meli ya Seagull.
Taarifa zilizotufikia ni kwamba
Meli ya Seagull iliyokuwa ikielekea visiwani Zanzibar ikitoka Dar es
Salaam imezama muda huu. Meli hiyo ilitoka Dar es Salaam leo saa 7
mchana ikiwa na abiria karibia 200 na kuzama katika eneo la Chumbe
jirani na Zanzibar. Mpaka sasa haijafahamika madhara yaliyotokana na
ajali hiyo.Mtandao wako utazidi kukupa habari zaidi…
No comments:
Post a Comment