Sunday, July 29, 2012

Michelle Obama alivyobebwa na U.S. Olympic Wrestler Elena Pirozhkova!!

First Lady Michelle Obama alivyo bebwa na mwana Olimpiki wa Marekani, Wrestler Elena Pirozhkova wakati wa aliposalimiana na wanariadhi wa timu ya Marekani katika michezo ya mashindano ya Olimpiki ya mwaka 2012 Summer, wakiwa kwenye Kituo cha Mafunzo ya Olimpiki ya Marekani katika Chuo Kikuu cha East London nchini Uingereza, Julai 27, 2012 . (Picha na Official White House Sonya N. Hebert)

No comments:

Post a Comment