USIKOSE BONGE LA SHOW KUTOKA KWA ROMA MKATOLIKI.
Villa Park inakuletea vunja jungu na likizo time,ni tamasha la aina yake likianza siku ya Alhamis katika usiku wa pwani tarehe 12.07.2012 ambapo kiingilio kitakuwa Tsh 3000/= pamoja na zawadi kedekede.Ijumaa ni shughuli pevu ambapo mkali wa hip hop ambaye amejizolea umaarufu mkubwa hivi karibuni ROM MKATOLIKI atapgawisha mashabiki wake katika ukumbi huo wa villa kwa kiingilio cha Tsh 5000/= tu.Bendi yuaSuper kama kamanyola kama kawa,itaendeleza mkito wake kuanzia siku za Jumatano hadi Jumapili.
No comments:
Post a Comment