BONDIA FRANCIS CHEKA AMCHAKAZA KARAMA RAUNDI YA SITA
Bondia Francis Cheka akinyooshwa
mkono juu na mmoja wa mashabiki wa Kigeni waliokuja kuangalia mpambano
wake dhidi ya Karama Nyilawila. Cheka alishinda katika raundi ya sita
baada ya Karama kusalimu amri, kushoto ni Rais wa PST Emmanuel Mlundwa
na wa pili kulia ni mgeni rasmi Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Mkoa
wa Dar es Salaam,
Bondia
Karama Nyilawila (kulia) akijitahidi kukwepa makonde ya mpinzani wake
Francis Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika jana usiku.
No comments:
Post a Comment