Msanii anayefanya vizuri sana katika game la muziki wa R&B kutoka
pande za state.Huyu si mwingine anafahamika kwa jina la Chris
brown.Msanii huyu siku za hivi karibuni alionekana amepiga new tatoo
katika shigo yake.tatoo hiyo ilizua sana maneno kutoka kwa watu kwamba
ni sura ya msanii ambaye anafanya game la muziki American anafahamika
kwa jina la Rihanna.
Hii ndiyo tatoo mpya ya chris brown ambayo inasemekana kwamba ni sura ya Rihanna.
No comments:
Post a Comment