PAJA LA ROSE LUCAS ( MISS REDD'S KANDA YA MASHARIKI) LINATIA AIBU
Paja
la Rose Lucas - Miss Redds Kanda ya Mashariki 2012 limegeuka na
kuwa gumzo miongoni mwa watu walioshuhudia shndano hilo la Miss
Redd's......
Wakizungumza
kwa nyakati tofauti na mtando huu, wadau mbali mbali wameitupia
zigo la lawama kamati nzima ya mandalizi ya Umiss hapa nchini
wakidai kuwa kamati hiyo imekuwa mstari wa mbele katika ubomoaji wa
maadili....
Wadau
hao amedai kuwa Mavazi yanayotumiwa hayana tija kwa sababu huwafanya
watoto wa kike kuanika viungo vyao vya ndani hadharani, mfano MAPAJA na
MATITI ambavyo vyote ni viungo nyeti.
"Kamati
imekuwa ikiandaa watoto wenye mising mibovu katika jamii.Wale wote
tunaowapigia kelele katika jamii ya leo wote walianza na Umiss
flani. Angalia mwenendo wa Wema sepetu, Isebella, na wengine.Wote hawa
walipitia Umiss lakini leo hawashikiki"..Alisema mdau mmoja tuliyeomba maoni yake juu ya uvaaji huu
No comments:
Post a Comment