Thursday, October 11, 2012
ISIKILIZE NGOMA MPYA YA NICK A.K.A PLATOO.MWANCHUO WA ETU 2 YEAR.
Baada ya maisha ya chuo kuwa magumu baadhi ya wanafunzi wa ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY wameamua kuendeleza vipaji vyao hususani muziki ambapo Excusive interview niliyoifanya na mmoja wa wanafunzi anejulikana kwa jina la wazazi wake Nicholaus Lyimo a.k.a Platoo amefunguka na kuelezea kipaji chake cha muziki ambapo alikuwa na haya ya kusema namnukuu"Yaah ni kweli me huwa nachana tangu kitambo natokea A town small state Ngaramtoni ambapo ipo Arusha,"aliendelea kuamplifai kuwa anayo single yake ambayo ameimba na washikaji zake ambao wanakaa kitaa kimoja huko A town.Single hiyo inajulikana na pirikapirikaUNAWEZA KUIDOWNLORD BURE AU KUISIKILIZA HAPA CHINI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment