Tuesday, October 9, 2012

UMESHAWAHI KUWAZA MUONEKANO WA JANET JACKSON NDANI YA HIJAB? ANAOLEWA NA BWANA MUISLAM, PICHA HIZI HAPA.

Pop star Janet Jackson mwenye umri wa miaka 46 ambae ni mpenzi wa zamani wa producer Jermain Dupri anaolewa mwaka 2013 na tajiri bilionea wa kiarabu Wissam Al Mana na inaaminika kwamba Janet itabidi abadili dini na kuwa muislam.

                                           Mapenzi ya Janet na Wissam yalianza 2010.






  


No comments:

Post a Comment