Saturday, July 20, 2013
DIAMOND AFUTURISHA
Diamondi akiwa na Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpozi’ sambamba na Shetta, Diamond, Romy Johson , Hamza wa Clouds Media na mwandishi wa mtandao huu Shakoor Jongo (mwenye shati jeupe) wakifuturu.
Msanii wa Bongofleva Hamad Ally ‘Madee’ akiwa katika picha ya pozi akisubiri muda wa kufuturu.
Kiongozi wa Kundi la Tip Top Connection Babu Tale naye akisubiri muda wa kufuturu ufike afuturu.
Futari ikiwa tayari kupakuliwa na kuanza kufuturu
Dj wa New Maisha Club Hemed Kavu ‘HK’ akifuturu.
Muigizaji aliyepeta siku nyingi Zamda Salim akifuturu pamoja na wageni wengine waalikwa.
Ndugu yake Diamond Romy Johson (mwenye kanzu) akiwa sambamba na watangazaji wa Clouds Tv Zamaradi Mketema na mwenzake aliyetambulika kwa jina moja la Anna nao wakipata futari.
Diamond akiwa katika jukumu la kugawa sahani ili watu wakapakue futari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment