Wednesday, July 17, 2013

RAIS KIKWETE AFUTURU NA WATOTO YATIMA IKULU

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimbeba mmoja ya watoto yatima walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto yatima walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni. Watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam walihudhuria futari hiyo.
Baadhi ya watoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Watoto yatima wakipata futari ikulu. (PICHA ZOTE NA FREDDY MARO / IKULU)

No comments:

Post a Comment