Friday, July 6, 2012

WEMA KUZIPIGA NA WOLPER NDANI YA UWANJA WA TAIFA KESHO

Pambano la mastaa wa bongo muvi linatarajiwa kufanyika kesho uwanja mpya wa taifa,kwa mujibu wa mratibu wa pambano hilo linalotarajiwa kuanza majira jioni kwenye uwanja wa taifa ambapo kila mtu kwa upande wape amejinadi kumchakaza mwenzake ili kushikilia ubingwa wa super star wa bongo muvi kwa upande wa wanawake,ila pamoja na pambano hilo pia kutakuwa na pambano la ngumi jingine litalowakutanisa kaseba na francis cheka kwa upande wa wanaume,lakini kuwa kutakuwa na show itakayoporomoshwa na mkali wa bongo fleva diamond platinum pamoja na wasanii wengine kibao watakuwepo.

No comments:

Post a Comment