Mwamuzi wa pambano la wema na wolper tayari kwa kuanzisha mpambano huo ambapo ilikuwa ya round sita lakini mwishon wake wote walitoka nguvu sawa so hakuna mbabe,wakati huo huo lile pambano kati ya Francis Cheka na kaseba halikufanyika kwa sababu Francis cheka aligoma kupigana na kushuka ulingoni hivyo kusababisha Japhet Kaseba kupewa ushindi katika pambano hilo,wakati kwenye mechi ya wabunge,wabunge wa simba walifanikiwa kuwafunga wabunge wa yanga kwa mikwaju ya penati,ambapo wabunge wa simba walishinda penalt 3-2 baada ya kwenda suluhu dakika 90 za mchezo huo.
wolper na wema wakiminyana katika pambano lao lilofanyika jana usiku katika uwanja mpya wa taifa jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment