Saturday, July 7, 2012

WANANCHI WAFURAHIA KUONANA NA JK KATIKA VIWANJA VYA SABASABA LEO MCHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MAONESHO HAYO.

Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi katika viunga vya uwanja wa maonesho vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.Wananchi walijipanga njiani na kusalimiana nae wakati yeye na mama Salma Kikwete walipokuwa wakitembelea banda moja hadi lingine leo mchana.

Na mimi muheshimiwa nataka kukushika mkono.....!


No comments:

Post a Comment