Redd's Miss Tanga 2012,Theresia kimaro a.k.a Teddy(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili,Beatroce Joseph a.k.a Ruth wote kutoka ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY na wa tatu Johari Harom muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindalo lao lilofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo.
washiriki walioingia tano bora.
ilikuwa njema sana kwa mabinti hao full shangwe kwao
ReplyDelete