Kama haufaham ni kwamba baada ya kupata malalamiko ya watu kwamba video ya kwanza aliyoitoa haikua nzuri, Mkali Tunda Man kutoka Tip Top Connection aliamua kufanya video nyingine mpya ya single ya “Dem sio” ambayo imetoka leo,kama kawaida blog yako ya kijanja imeipata na kuisogeza usoni mwako.itazame hapo chini.....!
HII NI VIDEO YA ZAMANI
No comments:
Post a Comment