Huu ni mkono wa Aunt Ezekiel na hiyo ndio pete aliyovishwa na mchumba wake Dubai.
Stori kamili ni kwamba
bado mpaka sasa movie star wa Tanzania Aunt Ezekiel hajaolewa ila pete
ya uchumba tayari ameshavalishwa kwenye party iliyofanyika huko Dubai,
ndoa ni mwezi november na itafanyika hukohuko Dubai.
Aunt amesema aliemvisha
pete ya uchumba sio mwigizaji wala mtu maarufu wa Tanzania kwa sababu
huwa hapendi kuwa kwenye mapenzi na staa, mumewe mtarajiwa ni Sunday
Demonte…. na anauhakika huyu wa sasa atakua tofauti na mwanaume aliekua
nae 2008/2009 aliekua anampiga na kumnyanyasa kila siku.
Aunt amesema ndoa yake
itakayofungwa Dubai itahudhuriwa na watu 100 tu. Aunt amezungumza pia
mengine kuhusu kubadili dini na kufata dini ya mume, kuhamia Dubai
pamoja na ishu nyingine….Endelea kuwa nasi
No comments:
Post a Comment