Yusuph lule

Thursday, August 23, 2012

BAHATI BUKUKU ANUSURIKA KUPEWA TALAKA BAA

Bahati Bukuku. STAA wa nyimbo za Injili Bongo anayetamba na albamu ya Dunia Haina Huruma, Bahati Bukuku amenusurika kulimwa talaka baa kutoka kwa mumewe waliyetengana naye miaka 7 iliyopita, Daniel Basila.

Kwa mujibu wa chanzo, ishu hiyo ilitokea mwishoni mwa mwezi Julai, mwaka huu ndani ya Baa ya Land Mark Hotel iliyopo Ubungo, jijini Dar.


Ilidaiwa kuwa, Basila alimwita ‘mtalaka’ wake huyo hotelini hapo ampe talaka yake baada ya kuishi ‘singo’ kwa miaka saba huku ndoa yao ikiwa haijulikani hatima yake.


“Daniel alimwita Bahati kwa simu, akamwambia aende pale hotelini akampe talaka. Alipofika alimkuta jamaa ameshika kikaratasi eti ndiyo talaka, lakini Bahati akamwambia kama amedhamiria kutoa talaka aende mahakamani,” kilisema chanzo

Posted by Unknown at 3:41 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

DOWNLORD HERE

Mnyasi - Sio mpaka Dar_1.mp3

CLOUDS FM LIVE


Live broadcast by Ustream

PHOTOS


Find more photos like this on TEEN TZ

Visitor

free counters

Calender

FOLLOWERS

OTHER BLOGS

  • MIKIDIZO
    Bekijk Reservoir 『 Film 』 Online Streaming
    5 years ago
  • Mr abdull
    AFRICAN SPORTS YAIKARIBISHA SIMBA SPORTS CLUB JIJI TANGA
    9 years ago
  • yusuph lule
    Fuatilia mapumziko ya LADY JIDE (@JideJaydee) akiwa USA kupitia website yake hii mpya
    11 years ago
  • Mr Amran
    Ancelotti backs Inzaghi as Milan coach
    11 years ago
  • ALLY JUMA MZEE
    12 years ago

Blog Archive

Search

My music


Find more music like this on TEEN TZ

About Me

Unknown
View my complete profile

watch time

Popular Posts

  • EXCLUSIVE: CHUO KIKUU CHA ECKERNFORDE TANGA CHAZUIWA NA BARAZA KUFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI.
    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII BARAZA LA FAMASI TAARIFA KWA UMMA KUHUSU CHUO KIKUU CHA ECKERNFORDE...
  • KAMA UMEMIS JIJI LA TANGA PICHA HIZI NI KWA AJILI YAKO
                                              Hapa ni maeneo ya garden kuelekea bombo area                                              ...
  • "MAVAZI YA NUSU UCHI HUNIFANYA NIWE NA MVUTO ZAIDI"......RECHO
    RACHEL Haule ‘Recho’ anayefurukuta ndani ya Bongo Movies, amesema hupendelea kuvaa nguo fupi kwa sababu zinampa uhuru katika mitoko yak...
  • ALICHOSEMA MSTAAFU WA FREEMASONS KUHUSU MKAPA NA MWAI KIBAKI KUWEMO NDANI YA HICHO CHAMA.
    Kwa longtime sasa hivi Tanzania imeshuhudia magazeti mengi pamoja na stori za internet kwenye blogs, website na facebook kuhusu Freema...
  • SHILOLE NAYE AZIANIKA NYETI ZAKE...NGUO ZAKE ZA NDANI AZIACHIA NJE NJE
    KATIKA kile kilichoonekana kama wasanii wa Bongo Movies wana ‘aleji’ na kujisitiri miili yao, baada ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, safar...
  • EXCLUSIVE: MATOKEO ETU KUBANDIKWA TAREHE 8 FEB. 2013
    Naomba kutoa Taarifa kutoka Eckernforde Tanga University kuhusu swala zima la matokeo pamoja na mitihani kwa wale wanaorudia kozi (sap)am...
  • SHILOLE AGWAYA KUMTAMBULISHA MPENZI WAKE KISA KIKIWA NI KUHOFIWA KUPORWA....!!!
    STAA wa filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameiambia Mpekuzi  kuwa anaogopa kumtambulisha kwa mashosti zake bwana’ke ...
  • MWANAUME AZALIWA AKIWA NA UUME ULIOGAWANYIKA MARA NNE(4)!!
    Katika hali ya kushangaza kabisa mwanaume ambaye alidiriki kuonyesha maumbile yake ya siri jinsi yalivyo aliwaacha watu HOI wakiwa na ...
  • MABINTI WA VIDEO YA TYGA WAMSHITAKI KWA KUZIANIKA CHUCHU ZAO KINYUME NA MAKUBALIANO
    Warembo watatu wanaonekana kwenye video ya ngoma ya Tyga’s “Make it Nsty” wanadai ‘chuchu’ zao zimeonekana bila ruhusa yao. Alissa Rae R...
  • MAUNO YA AUNT LULU YASABABISHA NJEMA IZIMIE
    Njemba ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amenusurika kifo kufuatia kuanguka ghafla na kupoteza fahamu kwa madai ya kuchangan...
All right reserved by Yusuph lule. Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.