Yusuph lule
Thursday, August 23, 2012
KLYINN NAYE ABEBESHWA MIMBA......
YULE MISS TANZANIA ASIYECHUJA AMEAMUA KUFATA NYAYO ZA WASANII WENZAKE WANAOPATA WATOTO WAKIWA NJE YA NDOA...
KLYINN ALIAMUA KUACHANA NA MUZIKI NA KUINGIA KATIKA MAHUSIANO AMBAYO YAMEDUMU KWA MUDA MREFU NA YULE JAMAA..... SI UNAMJUA?
HIVI SASA KLYINN AMEHAMA NCHI KWA MUDA ILI KULEA MIMBA YAKE NA MENGINE YATAFUATA BAADA YA MTOTO KUZALIWA...
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment