Mwana FA na Linah wakiimba kwa pamoja wimbo wao wa Yalaiti.
Jacob Steven a.k.a JB,mmoja wa wasanii wa filamu nyota hapa nchini akicheza muziki laini laini na msanii wa muziki wa kizazi kipya lakini pia ni muigizaji wa filamu,Shilole akiwa ametulia tulii
Jacob Steven a.k.a JB,mmoja wa wasanii wa filamu nyota hapa nchini akijitokeza jukwaani kuwasalimia wakazi wa Tanga (hawapo pichani),waliofika kwenye tamasha la Fiesta 2012,Mkwakwaani mkoani Tanga.
Palikuwa hapatoshi jukwaaani,shangwe na mayowe zilikuwa zikitawala kila wakati kutoka kwa mashabiki kibao waliofika kwenye tamasha hilo la Serengeti Fiesta lililofanyika kwenye uwanja wa Mkwakwani,mkoani Tanga.
CMB Prezoo akikamua jukwaani.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Mwana
FA akishusha misatari ya nguvu jukwaani,mbele ya mamia ya wakzi wa
Tanga waliojitokeza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,kwenye
uwanja wa Mkwakwani.
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya,CMB
Prezoo amabaye pia ni moja wa mastaa waliofanya vyema sana kwenye
shindano la BBA 2012,pichani akiwa juu ya jukwaa la tamasha la
Serengeti Fiesta 2012 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga.
Densaz kutoka nyumba ya vipaji,THT wakitumbuiza jukwaani usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Mkwakwani Tanga.
Dj Zero akiwapandisha mzuka mashabi hawapo pichani
Kama dawa kama kawa,Msanii Shetta
jukwaani akionesha kipaji chake cha kuimba,kucheza na hata kufloo kama
wafanyavyo wasanii wengine,
Sehemu ya washabiki wa tamasha la Fiesta wakishangweka.
No comments:
Post a Comment