MWANADADA asiyeishiwa na matukio Bongo,
Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ ametoa kali ya mwaka na kusema kuwa hajui
idadi ya wanaume alioshiriki nao kimapenzi kwa kuwa ni wengi.
Anti Lulu amesema amefanya hivyo kwa kushirikiana na wanaume mastaa na
wasio mastaa hali ambayo huwa inasababisha asikumbuke idadi yao.
“Kwa kweli sikumbuki, ila ambaye nilidumu naye
muda mrefu kiasi ni Bondi ambaye ndiye alinivalisha pete, lakini
niliivua baada ya kunipiga na kunipasua usoni,” alisema Lulu ambaye
alipata umaarufu kupitia shindano la kucheza la Kimwana Manywele 2006
kabla ya kuhamia kwenye uigizaji filamu
No comments:
Post a Comment