HAYA NDO MANENO YAKE ALIYO YAANDIKA:
"Sisemi nao eeh,sisemi nao wanao comment mbofu mbofu kuhusu jlo,,
Waganda hapa wangesema nakowaaaaa, maana mtoto wa watu sili silali sihemi
sina
la kusema zaidi, mimi huwa ninafanya vitendo tu,, Je wewe umepima? au
kazi kushadadia ya watu,,, haya zueni balaa lengine hili naona mmeloana
na macho yamewatoka kama fundi saa akiangalia mishale kama iko sawa.
Kama nawaona mlivyokuwa na hasira n comment lolest."
MTAZAMO WANGU
Sikatai wala sipingani na alichokiweka. Lakini najiuliza yote hayo ya nini? Au yuko kibiashara zaidi?......
Hata hivyo bado siamini kama kuna taasisi ya afya inayoweza kuanika majibu kiasi hiki.
Inakuwaje mtu akipata ukimwi leo na akaendelea kuonesha CHETI alochopewa kinachoonesha si mwathirika.........Hii ni hatari
HUU NI MTAZAMO WANGU
No comments:
Post a Comment