Inapewa sifa kuliko inavyostahili?
Labda. Lakini kuna sababu kwanini English Premier League inaonekana kwa
upana zaidi kama ligi bora kabisa ya ndani ya nchi duniani kote.
Huku
ikiwa na miaka 20 tangu kuanza kwake, Premier league imekuwa chombo
kilichobadilishwa namna soka inavyoangaliwa, mpaka inavyochezwa.
Premier
league ilizaliwa mwaka 1992 kutokana na matamanio ya vilabu vikubwa vya
England kupata faida kubwa kutokana na haki za matangazo ya Televison.
Ulikuwa
ni muda ambao soka la England lilikuwa linatoka kwenye muda ambao
ulikuwa ni giza la uhuni, ukosefu wa mashabiki viwanjani na ukosefu wa
mvuto.
Huku kukiwa na uwepo wa fedha nyingi, utangazwaji na hamu
ya kutaka kuiteka dunia, Premier league inaendelea kuitawala tasnia ya
soka duniani leo hii.
Hizi ndio sababu 5 kwanini Premier League ndio ligi bora duniani.
No comments:
Post a Comment