Pamoja na kwamba Africa
inasifika kwa umasikini lakini ni uhakika kwamba Mungu hajawanyima
waafrika kila kitu, nimesema hivyo baada ya kuipata hii stori ya kijana
wa Nigeria kutengeneza helikopta inayopaa.
Mubarak Muhammed Abdullahi ambae ana miaka 24 tu toka aanze kupumua, kwa kutumia vifaa vya gari la zamani pamoja na vifaa vya baiskeli amefanikiwa kutengeneza helikopta inayopaa.
Mwanafunzi huyu anaesoma Physics ametumia miezi nane kuitengeneza ambapo ametumia pesa anazozipata kutokana na kuripea simu za mkononi na computer kununua baadhi ya vifaa kuitengeneza hii Helkopta aliyoiita 747.
The 12-meter-long aircraft ambayo haijawahi kupaa zaidi ya futi saba angani imetengenezwa na secondhand 133 horsepower engine ya Honda Civic na ina viti vya vya gari aina ya Toyota.

No comments:
Post a Comment