Hiphop star Nicki Minaj
naona this time ameamua kutoa kauli ambayo imepata comments nyingi sana
kwenye mitandao ya kijamii baada ya mtandao wa Urban daily kumnukuu.
Onika Maraj a.k.a Nicki
Minaj ambae kwenye historia hatosahau jinsi baba yake alipowahi kujaribu
kumuua mkewe kwa kumchomea ndani ya nyumba amesema kwamba bado yeye ni bikra yani hajawahi kujihusisha kimapenzi na mwanaume toka azaliwe.
Inajulikana kwamba Boyfriend wake anaitwa Safari, maswali mengi watu wanayouliza ni kwamba siku zote amekua na huyo boyfriend wamekua wakiishi kama kaka na dada tu? inawezekana kweli mrembo kama Nicki Minaj akawa bikra?

Nicki Minaj na boyfriend wake.
No comments:
Post a Comment