Thursday, November 15, 2012

NEW BRAND SINGLE YA WATSON

Huyu ndie msanii mkali kwa sasa ndani ya Eckernforde Tanga University mbaye huwa anachana, anajulikana kwa jina aliopewa na wazazi wake Watson Churchil lakin Jina Maarufu au la Usanii ni Bro Wati a.k.a Minyasi.Ni msaanii mkali aliye kuja juu kwa kipindi hiki anasoma Echernforde Mwaka pili.

Blog yako ya kijanja ipo kwa ajili yako kuhakikisha inakuletea yote yanayojiri chuoni ikiwa ni masuala ya vimezo, vipaji mbalimbali, burudani, masuala ya taaluma na kukufanya kuwa up date na mambo yote yanayoendelea ndani na nje ya chuo.Niliongea na Minyasi na Hivi ndo anatiririka.......'yap nimetoa hiyo single naomba mashabiki wangu wanipe sapoti kwani ngoma nyingine kali zinakuja hivyo nawaomba wakae mkao wa  kula'....
ISIKILIZE HAPA FOR FREE....

Mnyasi - Sio mpaka Dar_1.mp3

No comments:

Post a Comment