Thursday, July 18, 2013

AFRIKA KUSINI WASHEREHEKEA MIAKA 95 YA KUZALIWA NELSON MANDELA

Baadhi ya Tisheti zikiuzwa katika mitaa ya jiji la Pretoria nchini Afrika Kusini. Wananchi wa Afrika Kusini leo wanasherehekea miaka 95 ya kuzaliwa Rais mstaafu wa nchi hiyo, Nelson Mandela. Umati umekusanyika nje ya hospitali iliyopo jijini Pretoria alipolazwa Madiba kwa matibabu.

No comments:

Post a Comment