Habari
ambayo imeripotiwa na ITV inaamplfy kwamba baada ya siku moja ya ziara
ya kushtukiza ya Waziri wa uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe kwenye uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar-es-Salaam, kiasi
kikubwa cha dawa za kulevya kimekamatwa uwanjani hapo katika harakati za
kusafirishwa kwenda nchi za nje.
Aliekamatwa ni kijana ambae alikua anazisafirisha hizo dawa zikiwemo bangi pia akielekea nchini Italia.
Aliekamatwa ni kijana ambae alikua anazisafirisha hizo dawa zikiwemo bangi pia akielekea nchini Italia.
No comments:
Post a Comment