Saturday, August 10, 2013

Muonekano wa Irene Uwoya ndani ya mavazi ya mafundi ujenzi akiandaa show yake.

Irene Uwoya ameshaanza mpango mzima wa kutembelea nyumba na kuzifanyia ukarabati akiwa kwenye harakati za ku-shoot show yake. Unaambiwa Irene kwenye show anaonekana kama mkandarasi kabisa  akiwa amevaa overall na kofia ya wajenzi. Cheki hizi picha akiwa busy na crew yake wakiandaa hii show.






No comments:

Post a Comment