Saturday, August 10, 2013

VIDEO YA MAGOLI WAKATI ARSENAL IKIIFUMUA MANCHESTER CITY 3-1

Moja ya big match ambayo imechezwa leo huko Uingereza iliyokutanisha washika bunduki wa London Arsenal dhidi ya Timu ya Manchester City ambapo mchezo huo umemalizika kwa Timu ya Arsenal kuibika na ushindi mnono ya mabao 3-1 . Mechi hiyo ni miongozi mwa mechi za kirafiki za kujiandaa na msimu mpya wa ligi ambao utaanza mda si mrefu. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Theo Walcott (9), Ramsey (59) na Giroud (60) wakati lile la manchester city lilifungwa na mshambuliaji wao mpya Alvaro Negredo.

No comments:

Post a Comment