Irene Uwoya ambae ni Mrs Ndikumana akiwa pia ni mama Krish hivi
karibuni ameingia kwenye headlines na TV show yake mpya kabisa ambayo
itaoneka @CloudsTV jumanne wiki hii, pamoja na hilo right now
nakukukutanisha na picha za gari lake jipya ambalo analiendesha kwa
sasa.
Ni Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambapo japo gharama imebaki kuwa siri ukicheki kwenye mtandao wa Mercedes Benz US ndinga kama hii ikiwa mpya ina-cost $ 95,000.
Ni Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambapo japo gharama imebaki kuwa siri ukicheki kwenye mtandao wa Mercedes Benz US ndinga kama hii ikiwa mpya ina-cost $ 95,000.
No comments:
Post a Comment