Monday, August 5, 2013

Uzito mkubwa katika historia ya mchezo wa kunyanyua uzito.

Hiyo ni Paul Anderson,mbeba vyuma au baunsa ambaye rekodi yake haijavunjwa hadi leo hii .
Hapa aliweka historia kwa kunyanyua vyuma vyenye uzito wa kila 2840 ambazo ni sawa na tani 2.84 kwenye mashindano ya mchezo wa Weightlifting au kunyanyua vyuma vizito yaliyofanyika huko  Georgia kwenye mji wa Tocoa mwaka 1957.

No comments:

Post a Comment