Wednesday, September 19, 2012

EXCLUSIVE HATIMAE NDOA YA AMEIR HAMAD NA KULUTHUM MFUNDO IJUMAA.

Ule msemo wa kiswahili hayawi  hayawi sasa yamekuwa na ule uchumba wa wawili hawa na pamoja na vikwazo walivyokumbana navyo katika safari yote walipotoka sasa imefikia mwisho na mungu akipenda inshaallah tarehe 21 ijumaa mwezi huu(kesho kutwa) ndio harusi yenyewe.
Akizungumza exclusive na YUSUPH LULE bwana harusi mtarajiwa ndugu AMEIR HAMAD alisema''Tumeamua kufunga ndoa baada ya taratibu zote na mipango yote ya harusi kukamilika,nimeona hakuna muda wa kupoteza.''.......pia bwana harusi mtarajiwa hakusita kutoa shukrani za dhati kwa yusuplule.blogspot.com pamoja na wanachuo wote wa ECKERNFORDE TANGA kwa ushirikiano waliouonesha kwake pamoja na support waliompatia.
   Harusi itafanyika KABUKU wilayani HANDENI Mkoani TANGA ambapo ni nyumbani kwa shemeji yetu KULUTHUM MFUNDO ambapo baada ya ndoa wataondoka kuelekea Dar es salaam.....

Hivyo mnaombwa kufika bila kukosa kwenye sherehe hiyo ya harusi ijumaa hii kabuku,wale wa pilau msijali mjipange tu mtabeba wali mpaka kwenye mashati,Kwa taarifa zaidi usiache kukaambali na blog yako ya kijanja ili kupata infomation zaidi.
Mmiliki wa blog hii ndugu YUSUPH LULE anawatakia harusi njema na maisha mema na yenye furaha katika kipindi chote cha uhai wenu hapa duniani INSHAALLAH.....!!

No comments:

Post a Comment