Friday, August 2, 2013

PICHA ZA MAZISHI YA COSMAS YALIYOFANYIKA MBEYA.

Picha ya jeneza la marehemu limewekwa watu wakiwa tayari kutoa salamu zoa za mwisho kwa maremu.


Watu wakiwa Kwenye msafara wa kuelekea kumpumzisha marehemu Kwenye makazi yake ya kudumu.


Ndugu wa karibu wa marehemu cosmas wakiwa ndani ya kaburi kulipokea janeza tayari kwa mazishi.


Ndugu,jamaa na marafiki wakipokezana kufukia kaburi la kipenzi chetu


Dua na maombi ya mwisho yakifanyika baada ya kumaliza mazishi.Na huo Ndio ulikuwa mwisho wa ndugu yetu COSMAS.Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.PICHA ZOTE NIMETUMIWA NA MTU WANGU WA NGUVU(RICH MASSAWE)








No comments:

Post a Comment